Drone Demostration At Ndugumbi Ward

Date: May 5, 2015

[:en]Inclusive Institutions, Walid Malik a Senior Public Sector Management Specialist, Chiara Bronchi a Lead Governance Specialist, Edward Anderson a Senior ICT Policy Specialist and Mark Iliffe a Geo-spatial Innovation Specialist who is the project Coordinator.

Mark Iliffe explaining the project concept to the guests CREDIT: Ramani Huria

A drone demonstration was made by the Sensefly Team at an open space near the Ward Offices. The Drones’ main purpose it to take clear aerial imagery to be used during the mapping process and additionally become available to any interested bodies for this data.

 [:sw]Mnamo tarehe 28 machi 2015 saa 4:30:48 asubuhi, wawakilishi wa benki ya dunia walikuwa Tanzania katika ofisi ya kata ya Ndugumbi ,amabapo walionyeshwa baadhi ya kazi za kustaajabisha zinazofanywa ndani ya mradi (Ramani jamii kwa ajili yakupambana na mafuriko) na pia matumizi ya ramani huria (open street maps)

kama jukwaa maalamu lakufanya uchambuzi ili kuonyesha maeneo yanakumbwa na mafuriko , miundombinu ya maji na vipengele vinginevo vinavyohusika na maji.

Baadhi ya wawakilishi Hassan Cissé mkurugenzi wa mazoezi yakimataifa na mashirika wahusika, Walid Malik mtaalam mwandamizi wa usimamizi wa mashirika ya umma, Chiara Bronchi mtaalam mkuu wa uongozi , Edward Anderson mtaalam mwandamizi wa sera za ICT(teknohama) na pia Mark Iliffe mtaalamu wa ubunifu wa ramani zenye taarifa(geo-spatial maps) ambaye ndiye msimamizi wa mradi.

Mark Iliffe kueleza mradi dhana ya wageni CREDIT: Ramani Huria

Maonyesho ya ndege (drone) yalifanyika na timu ya Sensefly , kwenye uwanja karibu na ofisi za kata ya ndugumbi. lengo ni kuchukua picha nzuri zitakazo tumika katika uchoraji wa ramani na pia kuwapa watu au kundi lolote lenye nia ya taarifa hizi.

 [:]

Related News

Date: January 24, 2018
First Impressions of Ramani Huria: the rise of the Community Mapper