Drone Aerial Imagery Used For Commuity Mapping For Flood Resilience in Ndugumbi Ward

Date: April 7, 2015

The residents in Dar es Salaam were given a taste of state of the art technology being used in the Dar Ramani Huria project to capture imagery for use in the ongoing Mapping Exercise.

Seeing the ebee Drone from Sense Fly in the sky you wont differentiate it from any other birds in the sky, its only if you saw it taking off from the ground that you would believe that they are actually drones.

These devices are programmed to fly in a certain direction at a particular height in the sky as they camera attached to them takes snapshots of what is on the ground.

With such clear imagery combined with local knowledge of the community members and the expertise of well trained students from Ardhi University, the output is a well detailed map of Dar es Salaam City.[:sw]

Wakazi wa Dar es Salaam walipewa ladha ya hali ya sanaa ya teknolojia inavyotumika kwenye mradi wa Ramani Huria kupata picha kwa matumizi yanayoendelea ya zoezi la kuchora ramani.

Ukiitazama Drone ya ebee kutoka Sense Fly kwenye anga, hutaweza kuitofautisha na ndege wengine angani, labda tu ukiiona inapaa kutoka ardhini ndio utaweza kuamini kwamba kweli hizo ni drone.

Vifaa hivi vimeundwa kupaa katika uelekeo na urefu fulani kwenye anga ambapo kamera inakuwa imeambatanishwa ili kuchukua picha ya vitu vilivyopo kwenye ardhi.

Mtaalam wa Drone akielezea kwa Bwana Hassan Cisse’ – Mkurugenzi wa kimataifa wa Utawala na umoja wa taasisi kutoka Benki ya Dunia jinsi ya kuitumia Drone eBee huko Ndugumbi. Mpiga picha: Daud Fufuji.

Michoro hapa chini inaonesha picha ya anga ya eneo moja kutoka kwenye Drone na Bing na pia unaweza kuona tofauti.

Kwa kuwa na picha dhahiri ikiambatanishwa na uelewa wa wazawa wa wanajamii na utaalam wa wanafunzi wa Chuo Kikuu Ardhi waliofundishwa vyema, matokeo ni ramani nzuri yenye taarifa ya jiji la Dar es Salaam.

Mtazamo wa OpenStreetMap wa Ndugumbi

Related News

Date: March 15, 2024
Finnish Universities and Tanzanian Partners Create Future Collaborations
Date: July 30, 2021
Industrial training program for the provision of E-learning skills and practical experiences to univ...
Date: April 8, 2019
A Handbook for Community Urban Risk Mapping
Date: April 3, 2019
Welcome to the Resilience Academy